Nafasi Ya Matangazo

August 21, 2011

Afisa mwendeshaji Mkuu wa Vodacom Tanzania Bw. Petter Corrie (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa Kampuni hiyo walioalikwa kushiriki futari iliyoandaliwa katika Hoteli ya Movenpickjana maalum kwa wateja wake.
Mtoa burudani akiburudisha wageni waalikwa, wateja wa Vodacom na baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika hoteli ya Movenpick.
Wateja wa Vodacom wakifuturu katika futari maalumu ilioandaliwa na Kampuni hiyo katika
hoteli ya movenpick jana.
Wageni waalikwa ambao pia ni wateja wa Vodacom wakipokea zawadi zao kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo (kulia) mara baada ya futari maalum iliyoandaliwa na
kampuni hiyo katika Hoteli ya movenpick jana.
Baadhi ya wateja wa Vodacom wakufurahia zawadi walizopata  wakati walipohudhuria futari maaalum iliyoandaliwa na Kampuni  ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kwa wateja wake katika
  hoteli ya Movenpick jana.
Posted by MROKI On Sunday, August 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo