Nafasi Ya Matangazo

August 21, 2011

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Diamondi Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Agosti 21 wakifuatilia kwa makini fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an.
Mshiriki kutoka Tanzania, Ibrahim Ramadhan, akishiriki fainali za mashindano hayo katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
Mshiriki wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye alishika nafasi ya tatu  katika mashindano hayo,  Mohammad Sad Tawfiq,  kutoka Egypt
Makamu wa Rais wa  Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma Hotuba yake  wakati wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an.
Makamu wa Rais Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi wa dini ya Kiislamu, wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa kwanza hadi wa tatu wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an, baada ya kutangazwa washindi hao katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo Agosti 21.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi wa dini ya Kiislamu, wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa  fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an,
Posted by MROKI On Sunday, August 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo