Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Mchuuzi wa Tende Katika Soko la Malikiti Mjini Unguja Visiwani Zanizbar Saidi Mwinyi (katikati) akiuza Tendfe kwa wateja wake sokoni hapo leo. Wauzaji wa Tende katika soko la Malikiti wakiwa wamepanga meza zao kama walivyokutwa leo na mpigapicha wa Blogu hii. Tende katika soko hilo huuzwa kati ya sh 1500 na 2000.
Aidha wauzaji hao wamsema wanaishguruku Serikali kuwaruhusu kufanya bishara katika eneo hilo baada ya kuwa wanasumbuliwa mara kwa mara.
Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo