Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akimkabidhi Zawadi ya Kinyago Naibu Waziri wa Mazingira wa Korea Jong Soo Yoon Mara Baada ya Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali Korea na Tanzania Uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Naura Mjini Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian na Naibu Waziri wa Korea Jong Soo Yoon Wakiogoza Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali ya Tanzania na Serekali ya jamuhuri ya Korea uliofanyika Hotel ya Naura Mjini Arusha Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian na Naibu Waziri wa Mazingira Korea Jong Soo Yoon Wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali ya tanzania na Serekali ya Jamuhuri ya Korea Uliofanyika kwenye Hotel ya Naura Springs Mjini Arusha.
Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo