Mdau Omega Ngole wa Katiba na Sheria (watatu toka mbele) akishuka katika pipa leo Mtwara kwa shughuli maalum za kifamilia.
Kamanda nimetua salama Ntwara na sasa nasonga front Newala "NEWALA KUCHELE!" kikazi kidogo.
Posted by MROKI
On Thursday, May 13, 2010
1 comment
Dah...nimefurahi sana kumuona bwana Ngole. Maana ni siku nyingi kidogo tangu enzi za mti safi.
ReplyDelete-Conrad - U.S.A