Nafasi Ya Matangazo

April 28, 2010

Meneja Masoko wa TBL, David Minja (kushoto) akiwa na Meneja Usambazaji na mauzo wa TBL Nicholas Brooka wakizindua kinywaji cha Grand Malt. Meneja Masoko wa TBL, David Minja (kushoto) akiwa na Meneja Usambazaji na mauzo wa TBL Nicholas Brooka wakigonganisha vikopo vyao vya Grand Malt baada ya uzinduzi. Shangwe zilikuwa za kila namna... mama kushoto na mdau kati walipigwa mikwenzi. Meneja wa TBL anaeshughulika na Bidhaa za Kimataifa Consolata Adam "Mama Grand Malt" akizungumza.
Mama Malt, Consolata Adam akifurahia mtoto mpya.
Meneja Masoko wa TBL, David Minja akiteta jambo na Meneja wa Bidhaa za Nje "Mama Malt"
Warembo wakishangilia na vinywaji vyao... Burudani ilikuwa kama hivi. Mzee wa Kilimanjaro Lager George Kavishe (kulia) alishikishwa kitu kitamu tofauti na Ze bia aliyoizoea.


Ah! warembo wa waniliu ambao walikuwa wanakaribisha wageni mlangoni...
Mama wa Redds Kabula akila pozi na mdau mwingine wakati wa uzinduzi huo.
Wadau walichapa hii kwa furaha yao...
Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo.
Vitafunwa namna hii vilitembea...
Kitu hicho Grand Malt...

Posted by MROKI On Wednesday, April 28, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo