Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2010

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha utumishi wakiuliza maswali wakati wa washa ya kuazimisha siku ya wanawake duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
Mmoja wa watoa mada akiwasilisha mada yake katika warsha hiyo.
Meneja ununuzi wa Vodacom Tanzania Regina Magani kushoto Vodacom Miss Tanzania 2007, Richa Adhia,Mana Adhia wakiwa kwenye washa ya kuazimisha siku ya wanawakle duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha utumishi wakiwa katika washa ya kuazimisha siku ya wanawake duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
Mwenyekiti Wa kitivyo cha biashara cha wanawake Tanzania,Dina Bina akitoa mada kwa wafanyakazi wa kitengo cha uajiri HR cha Vodacom Tanzania wakati wa kuazimisha siku ya wanawake duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
Posted by MROKI On Monday, March 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo