Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2010

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akipewa pole na mmoja wa watu waliomtembelea katika Hospitali ya Hindu Mandal, Dar es Salaam, alikolazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka kwa madaktari wanaomhudumia zinsema anasumbuliwa na shinikizo la damu na kwasasa hali yake inaendelea vizuri.
Posted by MROKI On Monday, March 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo