Nafasi Ya Matangazo

March 30, 2010

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando akikabidhi zawadi ya LCD TV kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Shangwe za Tigo Kombe la Dunia, Mark Elias Makundi jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Viwango wa Tigo, David Zakaria.Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando akikabidhi zawadi ya LCD TV kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Shangwe za Tigo Kombe la Dunia, Stuart Momani jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Viwango wa Tigo, David Zakaria.Washindi wa promosheni ya Shangwe za Tigo Kombe la Dunia Mark Makundi (kushoto na Stuart Momani wakionyesha zwadi zao zaa LCD TV mara baada ya kukabidhiwa katika ofisi za Tigo, Dar es Salaam jana.
Posted by MROKI On Tuesday, March 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo