Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2010

Polisi akipita kulinda doria wakati Tanesco kwa kushirikiana na watu wa Tanroads Dar es Salaam wakiondoa mabango marefu ya Kanisa la Full Gospel Bible Felowship la Mchungaji Zachari Kakobe yaliyokuwa katika njia mpya ya kupitisha umeme mkubwa kando ya barabra ya Sum Nujoma leo.

Hatua hii imefikiwa baada ya notisi ya kumtaka Ask Kakobe kuyaondoa mabango hayo marefu mawili yaliokuwa kanisani hapo kuyaondoa na notisi hiyo kumalizika jana.
Posted by MROKI On Friday, March 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo