Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2010

Mabingwa wa soka Tanzania bara Simba SC ya Dar es Salaam Tanzania inaongoza kwa goli 3-0 dhidi ya wenyeji Lengthens ya Zimbabwe. Magoli ya Simba yamefungwa na Mohamed Banka,Mussa Hassan "Mgosi" na Mohamed Kijuso.
Simba inawania kombe la michuano ya Shirikisho Barani Afrika.
Kwamatokeo hayo sasa simba inahitaji sare ya aina yeyote au ushindi wa namna yeyote ile kuweza kusonga mbele katika mashindano hayo katika mchezo wa marudiano utakaofanyika Dar es Salaam wiki kadha zijazo.

Wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuanio ya kimataifa, Miembeni, Mafunzo kutoka Zanzibar na Yanga ya Dar es Salaam zimeshatolewa katika hatua ya awali.

Simba ndio timu pekee ya Tanzania ambayo inasemwa kuwa na rekodi nzuri ya kushinda michezo ya kimataifa.
Posted by MROKI On Friday, March 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo