Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea vifaa maalumu 10 vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kutoka kwa, Willy Mgoya vyenye uwezo wa kumgundua mtu aliyekunywa pombe katika mkutano kati yake na watanzania waishio Japan uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 26, 2010. Vifaa hivyo vimetolewa kwa Waziri Mkuu ili avikabidhi kwa Jeshi la Polisi nchini ili livitumie kuwabaini madeeva wanaoendesha magari wakiwa wamelewa.Baadhi ya Watanzania waishio Japan wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya watanzania waishio Japan kwenye hoteli ya New Otani , Tokyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini Japan.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amembeba mototo, Alisa Charles Kilinda (6) ambaye baba yake alikuwa mmoja wa watanzania waishio Japan aliokutana nao kwa mazungumzo.
Posted by MROKI On Saturday, March 27, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo