Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2010

Wanafunzi wakijaribu kuruka uzio huku vijana wengine wengine wakiwa wamekaa juu ya uzio huo wa eneo la gati ya kivuko upande wa Kigamboni juzi jambo ambalo ni hatari maan vyuma vya uzio huo vimeliwa na kutui.
Posted by MROKI On Saturday, March 27, 2010 4 comments

4 comments:

  1. Mroki,
    Nimevutiwa na kupendezwa sana na picha ya pili kwa jinsi ulivyompata mwanafunzi akielea angani. Great shot!

    ReplyDelete
  2. We Subi usiwe mshamba.

    Hakuna utaalamu wa ziada sana alioufanya Mroki hapo ili kumpata huyo mtoto akiwa hehani. Hata wewe unaweza.

    Kamera unaiweka kwenye SEQUENCE MODE tu unaipata hiyo.

    ReplyDelete
  3. Mkware, asante kwa kunikumbusha hiyo, shauri ya kutokupiga picha mara kwa mara ndo nikawa sikumbuki, ila, hilo li kamera analolibebaga Mroki ni yale madude makubwa unatakiwa uwe umeshameza ugali kilo nzima la sivyo linakubwaga chini, sasa nalo linaweza hiyo sequence eeh? basi ushamba umenipungua kidogo hapo, ila ushamba ndiyo asili yangu bana, kwa nini nikatae.
    Thx Mkware!

    ReplyDelete
  4. Jamani Picha ni Nzuri na nijuavyo mimi Picha ya Habari ni usharp wa kukamata tukio hasa unalotaka kuhabarisha watu.

    Hivyo kama tuonavyo katika Picha Mroki ameweza hilo kutupa picha mbili kali.

    Si kila picha ni yahabari Mkware picha zako za Albam usifannanishe na za gazeti.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo