Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2010

Hapa ni HK (kushoto) akiwa na watangzaji wenzake wa Kili FM.
Haya wadau wa KCMC waliopo katika Mradi wa Malaria, big up kwa kukimbia na kupiga vita malaria.
Mzee wa Bufalo Internent Cafe mjini Moshi Anord Nasua akiwa na watoto wake Salome na Rayfredy kabla ya kimbia m,bio za furaha za Vodacom.

Wadau wa Kili FM 87.5 wakiwa kazini kutangaza moja kwa moja mashindano hay ya riadha ya Kilimanjaro Marathon leo.
Manka nae alikukwepo... hapa akinionesha fulanaz ya HabariLeo ambayo alitinga kabla Vodacom hayajaifunika logo.
Hawa walikimbia chini ya mwanvuli wa DT Dobie.
Wadau hawa wa mtoni nao waliomba niwapachikea mtandao huko nao waone kuwa walikimbia.Simba Cement nao waliwakilishwa katika mbio na hawa.
Mdau Mwami wa Vodacom akiwa na wifi zake kabla ya kuanza kutimua mbio.

Mafuru wa Vodacom (kushoto) akiwa na vijana wake wa Moshi.
Posted by MROKI On Sunday, February 28, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Moshi iko juu siku hizi

    ReplyDelete
  2. Kilimarathon inaonekana ilifana sana tunaomba Fr. Kidevu next year tujulishe mapema maandalizi na tarehe nasi tuje hongerani mliokimbia

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo