Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2010

Helkopta hii naambiwa ni ya raia wa Tanzania na imnunuliwa kwaajili ya Kmpeni za mwaka hu na zipo mbili. Hapa ilikodiwa kwaajili ya kurekodi picha za Mbio za Kilimanjaro Marathoni mjni Moshi.
Mdau Peter Katalyeba wa mjini TBL mjini Moshi akionesha medali yake akiwa n mfanyakazi mwenzake baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 za Marathon.
Timu ya Mafaniko ya Vodacom iliyoshiriki katika maandalizi na mashindano ya Kilimnajaro Marathon mjini Moshi leo.
Posted by MROKI On Sunday, February 28, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Raia wa bongo bwana, pesa za kununua helikopta katika mwaka wa kula[uchaguzi],mashangingi,mahekalu,
    harusi na minuso ya bei mbaya,fashion shows na upuuzi mwingine mwingi tu wa kifisadi wanazo lakini hela za kufanya vitu vya maana na vya maendeleo hakuna watu wanaingia mitini!Mfano dege la atc limeteleza sijui kwenye dimbwi la maji kisa kiwanja kibovu!Mashangingi yageuka boti baada ya mvua kubwa dar kisa mifereji imeziba au hamna!Wanafunzi wafeli kama nzige mitihani kisa waalimu wanakwepa shule kwenda sijui kuendesha bodaboda zao!Mtu akiwacharaza viboko hao waalimu anawajibishwa!Yaani hii nchi yetu inakera kweli kwa pumba na utumbo wa kutupwa sijui hatma yetu ni nini?!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo