Nafasi Ya Matangazo

December 21, 2008

Nilikutana na wadau katika show ya Marafiki wa Embassy pale New World Cinema Mwenge baada ya kushuhudia show kali ya Mbili Abell na Fally Ipupa. Toka kushoto ni Mzee wa TCC, Unguu na Ubavu wake, Emma na FK mwenyewe. Hawa jamaa tulikuwa shule jirani huko nmoro wakati Unguu anatafuta mbao Mzumbe Sec mimi nazitafuta zangu pale Ask. Adrian Mkoba Sekondary miaka ya tisini.
Posted by MROKI On Sunday, December 21, 2008 5 comments

5 comments:

  1. nimefurahi kuona picha ya bwana mdogo Hunguu,na story kwamba mlikuwa mitaa ya mzumbe pamoja.tafadhari mpe hongera sana kwa ubavu wake pia.nitafuhi kama nitapata no yake ya simu toka kwako,mi ni rfiki yake sana wakati tupo muhimbili kabla hajarudi mzumbe tena.kwasasa mie nipo denmark nakula mnazoziita nondozzzz. e mail yangu ni likundoj@yahoo.in

    ReplyDelete
  2. du sio mchezo, watu tunabadilika, yaani Ungu kawa mnene hivyo, na huyo Emmanuel Mvula nae ndio kabisa, waambie wapunguze the lagers, hiyo miili sio sawa sawa kabisa, hasa kwa huyo Mvula, nawafahamu hao nimesoma nao, Mvula nimesoma nae darasa moja kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita, na huyo Ungu tumekutana A-level. Ila imenipa raha sana hii picha, nawamiss sana hawa vijana.
    wasalimie sana hao vijana!!

    ReplyDelete
  3. We Mrocky na hao rafiki zako huo mchezo wenu huo wa kutundika WAKE zenu humu bulogini humu mtakuja KULIA nyie! Ohooo!

    Shauri zenu.

    Tuulizeni sie wazoefu.

    Haya!

    ReplyDelete
  4. Kumbe Mroky wewe ni mzee wa vitai.
    Mwili tu,hamna kitu hapo !!

    ReplyDelete
  5. WEWE KULE KWA MICHZI IMER=TOKA PICHA YAKO UNAPIGANA MOROOCOO SASA MBONA HATUKUELEWI

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo