Nafasi Ya Matangazo

December 01, 2008

Mwezi unavyooneka ukiwa karibu na nyota mbili leo.
Katika hali ambayo baadhi ya wakzi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wameonyesha kushangazwa nayo ni pale Mwezi ulipokuwa karibu kabisa na nyiota mbili kulia na kushoto kama inavyoonekana pichani majira ya saa moja 7:15 saa za Afrika Mashjariki. Sijafahamu kitaalum hali hii inaitwaje ila wadau mliosoma mambo haya mnaweza kutusaidia.
Posted by MROKI On Monday, December 01, 2008 1 comment

1 comment:

  1. Tunaomba maelezo toka kwa wataalam tafadhali Fr Kidevu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo