Nafasi Ya Matangazo

October 09, 2026





Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza.

Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji hao kuhusu uwepo wa mazingira rafiki ya uwekezaji nchini Tanzania, yanayowezeshwa na sera, sheria na miundombinu bora inayolenga kuvutia na kukuza uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo za benki na madini.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Posted by MROKI On Friday, October 09, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo