Nafasi Ya Matangazo

August 30, 2025

 Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia wananchi wa Kisesa na Nyanguge wilayani Magu leo Jumamosi Agosti 30,2025 wakati akielekea mkoani Mara kuendelea na kampeni zake eneo la kanda ya Ziwa ikiwa ni baada ya kumaliza mkoa wa Mwanza.

Pamoja na mambo mengine Dkt Nchimbi akiwa ni mgombea mwenza wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amemnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Magu, Kiswaga Destery  Boniventura pamoja na Wagombea Udiwani .

 










Posted by MROKI On Saturday, August 30, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo