Nafasi Ya Matangazo

April 28, 2026

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Sillo, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Ndg. Abdulmajid Nsekela leo tarehe 28 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Sillo, akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Ndg. Abdulmajid Nsekela baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 28 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Sillo, katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Ndg. Abdulmajid Nsekela baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 28 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Posted by MROKI On Tuesday, April 28, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo