Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Morogoro katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho katika uwanja wa Tumbaku mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.

Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tumbaku Mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tumbaku mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.
Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tumbaku Mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.
Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tumbaku Mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.

0 comments:
Post a Comment