Nafasi Ya Matangazo

August 30, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mvomero katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika Mvomero mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Asha Rose Migiro akizungumza na wananchi wa Mvomero.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mvomero katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika Mvomero mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara wa Dumila katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mvomero, mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025.

Posted by MROKI On Saturday, August 30, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo