Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2025

Mhe. Jaji George Mcheche Masaju akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025

Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
RaiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 

Mhe Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
Posted by MROKI On Wednesday, January 22, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo