Mhe. Jaji
George Mcheche Masaju akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Mhe. Jaji
George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Latifa Alhinai
Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
RaiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama
ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22
Januari, 2025.
Mhe Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
No comments:
Post a Comment