Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi
mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Picha namba 13-16. Baadhi ya Wajumbe wa
Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Picha namba 5-12.
Picha namba 20. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya
Rais ya Maboresho ya Kodi mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
0 comments:
Post a Comment