Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2024

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kutoka wilaya ya Nagra mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Septemba 4, 2024. Wananchi hao walifanya ziara ya mafunzo bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Ndesaiba  Ruhoro (kulia). Kushoto ni Waziri wa Viwanda na  Biashara, Selemani Jafo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi kutoka wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Septemba 4, 2024. Wananchi hao walifanya ziara ya mafunzo bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Ndesaiba  Ruhoro, kulia kwa Waziri Mkuu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kaika picha ya pamoja na wananchi kutoka wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Septemba 4, 2024.  Wananchi hao walifanya ziara ya mafunzo bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Ndesaiba  Ruhoro, kulia kwa Waziri Mkuu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Posted by MROKI On Thursday, September 05, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo