Nafasi Ya Matangazo

November 22, 2023

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent  Bashungwa pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi Wazawa, Washauri Waelekezi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu sekta hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre,  leo Jumanne Novemba 21, 2023 jijini Dodoma.
Posted by MROKI On Wednesday, November 22, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo