November 29, 2023

CHONGOLO AJIUZULU UKATIBU MKUU CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyokutana Leo Novemba 29,2023 Jijini Dar es Salaam , kupokea barua ya kujiuzulu kwa Ndg. Daniel Chongolo aliyekua Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kuridhia ombi hilo


 


No comments:

Post a Comment