Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa BAraza la Chuo hicho Balozi Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kuhitimisha Duru la Pili la Mahafali ya 53 ya chuo hicho ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 17, 2023.

*************
Na Mwandishi WetuMkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amefurahishwa sana kuona asilimia ya wahitimu wanawake chuoni hapo imefikia asilimia 54.7 na kuwashauri wanafunzi wanaume wafanye juhudi ili wasiachwe mbali sana na wenzao.

0 comments:
Post a Comment