Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani
Jafo akipata maelezo kuhusu teknolojia mbalimbali na jitihada zinazofanywa na
wadau wa utunzaji wa mazingira ikiwemo matumizi ya nishati safi ya kupikia na
rafiki kwa mazingira, alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano wa
Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi, Kenya Septemba 06,
2023.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani
Jafo (aliyekaa katikati) pamoja na akiwa pamoja na Mshauri wa Rais katika
masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi Dkt. Richard Muyungi (aliyekaa kulia) wakiwa
katika picha ya pamoja na vijana wa kitanzania wanaojishughulisha na shughuli
za hifadhi ya mazingira katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
wakati wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi,
Kenya Septemba 06, 2023.






0 comments:
Post a Comment