Meneja
wa Tawi dogo la TPB katika Wilaya ya Karagwe, Micky Malay akimpa zawadi ya
Kibubu mwanafunzi wa shule ya msingi ya Kayanga,Lusiana
Severian baada ya kujibu maswali juu ya faida za uwekaji wa akiba. Wa katikati
ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano ya Benki hiyo ni Timotheo Mwakifulefule.Jumla
ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya
hiyo.
Mwanafunzi
wa shule ya msingi ya Kayanga, Lusiana Severian akiwa amejishindia zawadi ya Kibubu
kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera. TPB
imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani katika Wilaya hiyo. Jumla ya
wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya
hiyo.
Mkurugenzi
wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha
wanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya
Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani. TPB
imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani mwezi wa kumi katika Wilaya
hiyo. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba
katika Wilaya hiyo.
Meneja
wa Tawi la TPB – Bukoba, Juvestina Julius akiuliza swali kwa wanafunzi wa Shule
ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera baada ya kuwapa
elimu juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani. TPB imesherehekea kilele cha
uwekaji wa akiba duniani mwezi wa kumi katika Wilaya hiyo. Jumla ya wanafunzi
3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo
Mkurugenzi
wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha
wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya
Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Meneja wa tawi dogo la Benki ya Posta (TPB)
katika Wilaya ya Karagwe, Micky Malay akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya
Bugene wa kidato cha tano, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu za
uwekaji wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa
TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya Bugene wa
kidato cha tano, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji
wa akiba.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa
TPB, Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkurugenzi wa SBFIC nchini Tanzania, Marko
Broschinski wakimpa zawadi ya Kibubu mwanafunzi wa Sekondari ya Bugene wa
kidato cha tano mchepuo wa HGL katika Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera,
Remigisha Filatheo baada ya kuibuka mshindi katika kujibu maswali ya uwekaji wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa
TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa sekondari ya Nyakahanga wa
kidato cha tatu, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji
wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa
TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya Iyanda wa
kidato cha tatu, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji
wa akiba duniani.
Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu waTPB, Jema Msuya akiwaelimisha baadhi ya wanafunzi wa
shule za msingi katika Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji
wa akiba duniani. Wa pili kulia ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano ya Benki hiyo
ni Timotheo Mwakifulefule.TPB imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba
duniani. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba
katika Wilaya hiyo.
0 comments:
Post a Comment