Nafasi Ya Matangazo

November 01, 2016


Meneja wa Tawi dogo la TPB katika Wilaya ya Karagwe, Micky Malay akimpa zawadi ya Kibubu mwanafunzi wa shule ya msingi ya Kayanga,Lusiana Severian baada ya kujibu maswali juu ya faida za uwekaji wa akiba. Wa katikati ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano ya Benki hiyo ni Timotheo Mwakifulefule.Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo.
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Kayanga, Lusiana Severian akiwa amejishindia zawadi ya Kibubu kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera. TPB imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani katika Wilaya hiyo. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani. TPB imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani mwezi wa kumi katika Wilaya hiyo. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo.
Meneja wa Tawi la TPB – Bukoba, Juvestina Julius akiuliza swali kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera baada ya kuwapa elimu juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani. TPB imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani mwezi wa kumi katika Wilaya hiyo. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi ya Bugene, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.


Meneja wa tawi dogo la Benki ya Posta (TPB) katika Wilaya ya Karagwe, Micky Malay akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya Bugene wa kidato cha tano, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu za uwekaji wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya Bugene wa kidato cha tano, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkurugenzi wa SBFIC nchini Tanzania, Marko Broschinski wakimpa zawadi ya Kibubu mwanafunzi wa Sekondari ya Bugene wa kidato cha tano mchepuo wa HGL katika Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera, Remigisha Filatheo baada ya kuibuka mshindi katika kujibu maswali ya  uwekaji wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa sekondari ya Nyakahanga wa kidato cha tatu, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara wa TPB, Deogratius Kwiyukwa akiwaelimisha wanafunzi wa Sekondari ya Iyanda wa kidato cha tatu, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu waTPB, Jema Msuya akiwaelimisha baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera juu ya faida za uwekaji wa akiba duniani. Wa pili kulia ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano ya Benki hiyo ni Timotheo Mwakifulefule.TPB imesherehekea kilele cha uwekaji wa akiba duniani. Jumla ya wanafunzi 3300 walifaidika na elimu hiyo ya uwekaji wa akiba katika Wilaya hiyo.
Posted by MROKI On Tuesday, November 01, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo