Nafasi Ya Matangazo

October 01, 2016

 Katika kutekeleza mkakati wa kampuni wa kutunza mazingira na sera ya wafanyakazi kutumia muda wao kwa ajili ya kazi za kijamii,wafanyakazi wa TBL Group wameungana na viongozi wa serikali na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali za kiserikali na za binafsi katika kampeni ya uhamasishaji upandaji miti inayojulikana kama Mti Wangu.

Kampeni hii imezinduliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan katika eneo la viwanja vya Gymkhana.

Pichani juu ni  Diwani wa kata ya Kivukoni manispaa ya Ilala Henry Massaba wa pili (kushoto) akimkabdhi mti wa kupanda Meneja Ufanisi wa Uzalishaji Charles Nkondola Charles Nkondola  kwa niaba waya wafanyakazi wa TBL Group wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Mti Wangu’ .Kushoto ni Meneja wa Afya na USalama, Renatus Nyanda.gg
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti  eneo la Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti  eneo la Gymkhana.
 Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti  eneo la Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti  eneo la Gymkhana.
 Meneja wa Ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nnkondola (kulia)akimsikiliza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'Mti wangu'.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TBL Group eneo mara baada ya kumaliza zoezi la kupanda mti wakati wa uzinduzi wa  kampeni ya ‘Mti Wangu’
Posted by MROKI On Saturday, October 01, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo