Kampeni hii imezinduliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan katika eneo la viwanja vya Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Meneja wa Ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nnkondola (kulia)akimsikiliza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'Mti wangu'.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TBL Group eneo mara baada ya kumaliza zoezi la kupanda mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Mti Wangu’
No comments:
Post a Comment