Mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha bia cha TBL jijini Dar es Salaam, akifanya usafi kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu wa Mission uliopo katika kata ya mchikichini jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha bia cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wakuzibua mfereji wakupitisha maji machafu wa Mission uliopo kwenye kata ya Mchikichini jijini .
Afisa Mwandamizi wa Kiwanda cha bia cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam, Charles Nkondola (kushoto) akibadilishana mikakati ya usafi na Diwani wa kata ya Mchikichini Joseph Ngowa ( kulia) . Katikati ni Afisa usalama na Afya wa TBL Group, Khery Gunzarethy.
Afisa Mtendaji wa kata ya Mchikichini Charles Kapongo (kushoto) akishirikiana na wafanyakazi wa TBL Group kufanya usafi.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Tbl Ilala jijini Dar es Salaam, wakivuta viroba vya uchafu kutoka katika mfereji wa Mission uliopo kwenye kata ya Mchikichini.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha bia cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kata ya Mchikichini mara baada ya kumalizika kwa zoezi la kufanya usafi wa mfereji wa Mission Kota
0 comments:
Post a Comment