Nafasi Ya Matangazo

September 13, 2016

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg Power kabla ya kuanza mazungumzo, leo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu namna CCM itakavyoweza kushirikiana na Taasisi hiyo ya masuala ya uongozi, katika nyanja mbalimbali. Wengine kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi hiyo, Nedjma Ouerdane, na kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka Tassisi hiyo.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg Power, leo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu namna CCM itakavyoweza kushirikiana na Taasisi hiyo ya masuala ya uongozi, katika nyanja mbalimbali. Wengine kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi hiyo, Nedjma Ouerdane, na wapili kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka Tassisi hiyo.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akiwa katika picha ya pamoja  na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg Power na ujumbe wake baada ya mazungumzo na ujumbe huo leo jijini Dar es Salaam.  Kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi hiyo, Nedjma Ouerdane, na kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka Tassisi hiyo. PICHA NA BASHIR NKOROMO
Posted by MROKI On Tuesday, September 13, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo