August 05, 2016

WANYANGE WA MISS KANDA YA MASHARIKI WANAOCHUANA KESHO HAWA HAPA



WANYANGE 11 watakao panda katika jukwaa la Nashera Hotel mjini Morogoro kesho kuwania taji la Miss Kanda ya Mashariki 2016 wakiwa katika pozi tofauti katika kambi yao mjini Morogoro. Warembo hao ni kutoka mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara na Morogoro.

No comments:

Post a Comment