Kaimu Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya
Mipango,Bi.
Lorah Madete, akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi
ili afungue mafunzo hayo ya siku tano.
Waliokaa ni Bw. Maduka Paul Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya
Uzalishaji, Tume ya Mipango (katikati) na Bw. John Mduma, Mhadhiri Mwanamizi,
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mgeni
Rasmi Bw. Maduka Paul Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uzalishaji, Tume
ya Mipango (aliyesimama) akitoa hotuba kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa mafunzo
kuhusu Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma kwa washiriki kutoka mikoa
ya Mwanza, Mara,
Geita and Simiyu. Wengine ni Bi. Lorah Madete, Kaimu Naibu
Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango (kushoto) na Bw. John
Mduma, Mhadhiri Mwandamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kulia).
Muwezeshaji
Dr. Kenneth Mdadila, Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akishusha nondo kwa
washiriki wa mafunzo hayo.
Washiriki
wa Mafunzo wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi
wa mafunzo hayo yanayofanyika Jijini Mwanza katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi
Stadi (Veta).
Washiriki
wa mafunzo kuhusu Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Geita and Simiyu pamoja na wawezeshaji
wa mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi mara baada
ya ufunguzi wa mafunzo hayo. Picha
zote Na: Thomas Nyindo- Tume ya Mipango
0 comments:
Post a Comment