Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni akisalimiana na baadhi ya wanamichezo
waliohudhuria katika bonza la kujenga Afya kwa wananchi lililofanyika
katika viwanja vya Leaders Club kwa Udhamini wa Kinywaji cha Grand Malt
Tamasha kubwa la mazoezi ya kujenga mwili lilifanyika katika viwanja vya Leaders Club na kuwahusisisha mamia ya wananchi wenye jinsia na rika mbalimbali na yaliendeshwa na wataalamu mbalimbali wa fani ya mazoezi ya viungo na lilidhaminiwa na kampuni ya TBL Group kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt chini ya mpango wa kampuni hiyo wa Afya Kwanza na mgeni wa rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ally Hapi.
Tamasha
hilo la aina yake kufanyika nchini lilijumuisha mazoezi na michezo ya
aina mbalimbali ambayo ilitoa fursa kwa aliyefika eneo hilo kuchagua
kushiriki mazoezi na mchezo wowote anaoutaka
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akikabidhi zawadi ya kuku Neema Ndimbo wa
klabu ya Jogging ya Kawe mara baada ya kuibuka mshindi wa kufukuza kuku kwa
wanawake wakati wa bonanza la Afya kwa watanzania liliozishirikisha klab za
Jogging za jijini Dar es Salaam, katika viwanja vya Leaders Club kwa Udhamini
wa Kinywaji cha Grand Malt.Kushoto anaye shuhudia ni Meneja Matukio wa taifa wa
TBL Group George Mwombeki .
Wakazi wa
Dar es salaam wakishiriki kufanya mazoezika tamasha kubwa la mazoezi ya
kujeng mwili lililofanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es
Salaam ambalo mmoja wa wadhamini wa tamasha hilo ni TBL Group kupitia
kinywaji cha Grand Malt
Mchezo wa kufukuza kuku nao ulikuwepo.
Wakazi wa
Dar es salaam wakishiriki kufanya mazoezi katika tamasha kubwa la mazoezi ya
kujenga mwili lililofanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es
Salaam ambalo mmoja wa wadhamini wa tamasha hilo ni TBL Group kupitia
kinywaji cha Grand Malt
No comments:
Post a Comment