Meneja idara ya uhandisi wa Kiwanda cha Konyagi cha jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto) akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo , Katikati ni ofisa rasilimali watu Anna Magari .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya uhandisi wa Kiwanda cha Konyagi cha jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto) akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo , Kat0pikati ni ofisa rasilimali watu Anna Magari .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya uhandisi wa Kiwanda cha Konyagi cha jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto) akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo , Katikati ni ofisa rasilimali watu Anna Magari .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya uhandisi wa Kiwanda cha Konyagi cha jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto) akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo , Katikati ni ofisa rasilimali watu Anna Magari .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Wafanyakazi bora wa kampuni ya Konyagi katika picha ya pamoja na Maofisa wa kampuni hiyo muda mfupi baada ya kutunukiwa zawadi.
****************
Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TDL kilichopo chini ya TBL Group imewapongeza wafanyakazi wake bora katika msimu huu ambapo imewatunukia zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha Konyagi kilichopo jijini Dares Salaam
Akiongea wakati wa hafla hiyo Mkuu wa Idara ya Uhandisi wa kampuni hiyo aliwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii na kuongeza kuwa kampuni inathamini mchango wa kila mfanyakazi wake na ndio maana imekuwa na utaratibu wa kuwapatia tuzo mbalimbali.
Wafanyakazi hao walishukuru mwajiri wao kwa kuthamini na kutambua mchango wanaoutoa kwa kampuni.
0 comments:
Post a Comment