Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group
wakisafishwa kucha za miguu pamoja na kupakwa rangi kwenye burudani
za siku ya familia
*********
Wafanyakazi wa TBL Group wa Dar es Salaam na
familia zao walikutana na familia zao na kukaa pamoja na kufurahi huku
wakishirikiana kucheza michezo,kupata burudani ya muziki na vichekesho kutoka
kwa wasanii mbalimbali bila kusahau misosi na vinywaji hali ambao ilileta
furaha katika tukio hilo muhimu kwa kampuni la kuwafanya wafanyakazi kuzidi
kufahamiana kwa karibu nje ya mazingira ya kazi na familia zao pia kuwa na
ukaribu.
Mkurugenzi Rasiriamali watu wa TBL Group David
Magesa (kushoto) akimkabidhi Mercy Maliwa zawadi kwa kuibuka mshindi wa
shindano la mpango wa AfyaKwanza , wakati wa wa Siku ya wafanyakazi wa
kampuni hiyo (Family Day) iliyofanyika kwenye viunga vya hoteli ya Fun
City Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wana
msondo wakimwaga burudani kwa wafanyakazi wa TBL Group
Msanii wa Vichekesho Joti akiburudisha watoto. BOFYA HAOA PUSOMA ZAIDI.
Luiza Mbutu akiongoza juklwaa la Afrika Stars kutoa burudani
Joti na Luiza Mbutu wakifanya yao jukwaani.
Watoto wakicheza michezo mbalimbali wakati wa tamasha hilo la familia.
Evance Bukuku nae alikuwepo na kufanya uchekleshaji wake...
wakati wa Maakuli.
Watoto wakiweza kujibu maswali ya ufahamu na
kujishindia zawadi
No comments:
Post a Comment