July 31, 2016

MAMIA WAMUAGA JOSEPH SENGA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam.
****************
MAMIA ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye pamoja na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe walitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, Joseph Senga.

Mbali na Nape na Mbowe pia Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea, Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa, Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Elisante Ole Gabriel pamoja na Viongozi wa Jukwaa la wahariri na Waandishi wa habari na Wapigapicha za Habari.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam.
Wapigapicha za habari mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa Mpigapicha mwenzao Marehemu Joseph Senga aliyefariki Julai 28, mwaka huu akiwa kwenye matibabu ya Moyo nchini India. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

Wapigapicha za habari mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa Mpigapicha mwenzao Marehemu Joseph Senga aliyefariki Julai 28, mwaka huu akiwa kwenye matibabu ya Moyo nchini India.
Wapigapicha za habari mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa Mpigapicha mwenzao Marehemu Joseph Senga aliyefariki Julai 28, mwaka huu akiwa kwenye matibabu ya Moyo nchini India.
Wapigapicha za habari mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa Mpigapicha mwenzao Marehemu Joseph Senga aliyefariki Julai 28, mwaka huu akiwa kwenye matibabu ya Moyo nchini India.
 wapigapicha wakijadiliana mambo mbalimbali wakati wa kuaga.
Tayari safari ya kwenda Mwanza kwa mazishi ilianza kwa mwili kupakizwa kwenye basi.

No comments:

Post a Comment