November 12, 2015

MKUTANO MKUU WA MASAFA WA ITU WAKUBALIANA KUPANGA MASAFA YA KUFUATILIA NDEGE ANGANI

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo ukifuatilia mjadala huo wa kufuatilia masafa ya ndege angani.
Balozi wa Tanzania nchini Geneva, Uswiz, Balozi Modest Mero (kushoto) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dr. Ally Y. Simba.

No comments:

Post a Comment