November 12, 2015

TASTE OF TANZANIA GALA DINNER- GENEVA

 HIVI karibuni vijana wa Kitanzania na marafiki zao waishio nchini Geneva, Usiswi waliandaa onesho la mavazi ambalo lililenga kuchangisha fedha kwaajili ya albino wa Tanzania. Onesho hilo lilidhaminiwa na balozi wa Tanzania Geneva, Balozi Modest Mero na familia yake.


No comments:

Post a Comment