Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu
Rais Kikwete akipokea mchoro wa kitambaa uliotengenezwa na kinamama waliopona ugonjwa wa Fistula
Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia
Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo
Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania
Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika
Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura
Rais Kikwete akiongea na mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Rais Kikwete na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Rais Kikwete akimpongeza mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Baadhi y wageni waalikwa na wafadhili wa mradi huo
Mshauri wa ufundi wa hospitali ya CCBRT Dkt. Brenda D'Mello akitoa maelezo ya shughuli za hapo
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa...."Anasema mmoja wa wahudumu
Rais Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali
Rais Kikwete na wadau wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na watendaji wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na wafadhili wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na wajumbe wa Bodi ya hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT
ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo
kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya
CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa
CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la
bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo
kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini
hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT
ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo
kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda
hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali
hiyo pamoja na canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini
hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa
Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya
hospitali hiyo pamoja na canteen.
No comments:
Post a Comment