October 22, 2015

LOWASSA AHUTUBIA TANGA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 21, 2015.
Sehemu ya wananchi wa jiji la Tanga, wakimshangilia Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa (hayupo pichani), wakati akihutubia katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye viwanja wa Indian Ocean, jijini humo leo Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 21, 2015.

No comments:

Post a Comment