Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ubungo.Sinza jijini Dar kwenye uwanja wa TP wakati wa kampeni.Dkt Magufuli
ameendelea na kampeni zake mkoani Dar es salaam,ambapo kesho ataendelea kuhutubia kwenye majimbo mbalimbali ya jiji hilo.
Mgombea huyo amefanya mikutano ya
kampeni katika majimbo ya Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo na
Kinondoni huku akiwanadi wagombea ubunge na udiwani wa majimbo hayo,
Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unatarajiwa kufanyika
jumapili Oktoba 25 mwaka huu.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Machava Kigamboni leo.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Machava Kigamboni leo.
Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kigamboni Dk.
Faustine Ndugulile.
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa CCM kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa CCM kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
Furaha inapozidi hakuna wa kuizuiaaa...!
Umati wa wananchi wa Mabagala waishangilai jambo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Zakhem Mbagala,jijini Dar
Dkt
Jonh Pombe Magufui akiwahutubia wananchi wa Mwembeyaga wilayani Temeke
kwenye mkutano wa kampeni kuomba kura wananchi ili apewa ridhaa ya
kuwaongoka katika kipindi cha awamu ya tano.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Temeke,Ndugu Zuberi Abas Mtevu.
Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akipokelewa
kwa shangwe na mapambo ya bendera za vyama mbalimbali zilizopambwa
kuanzia Ubungo mataa mpaka kituo cha mabasi cha ubungu kufuatia ujio wa
mgombea huyo jijini Dar es salaam kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja
wa TP Sinza katika jimbo la Ubungo jijini Dar es salaam.
Dkt Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Dkt Masaburi
Dkt
Asharose Migiro akimwombea kura za ushindo wa kishindi mgombea Urais wa
CCM Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
viwanja vya TP,sinza jijini Dar.
Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimpigia debe Dk. John Pombe
Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra
Kinondoni jijini Dar es salaam.
Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwahutubia
wananchi na kuomba kura za ndiyo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Kinondoni na vitongoji vyake wakimsikiliza
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia
wananchi hao na kuomba kura za ndiyo kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment