Gwiji la Muziki Wa Kizazi Kipya,
Roma Mkatoliki akiwapagawisha masha biki
waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la ”Vodacom
Maisha ni Murua” lililo fanyika jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya
shamra shamra za mwaka mpya.
Gwiji la Muziki Wa Kizazi Kipya, Joseph Haule 'Profesa J' akiwapagawisha masha biki
waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la ”Vodacom
Maisha ni Murua” lililo fanyika jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya
shamra shamra za mwaka mpya.
Wasanii wa kundi la Wanaume Famili wakishambulia jukwaa wakati wa tamkasha hilo.
No comments:
Post a Comment