Mwenyekiti
Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg.
Kimweri Mhita (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi
wake,Dkt. Mohamed Mhita (kushoto) na Mh. Zabein Mhita (Mbunge wa Jimbo
la Kondoa Kaskazini) wakati wa hafla fupi ya kumpongeza mara baada ya
kuapishwa kwake,Jijini Dar es Salaam jana.
Makamu
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mh.
Mboni Mhita (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa
Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita wakati wa
hafla fupi ya kumpongeza mara baada ya kuapishwa kwake,Kimweri ni mmoja
wa Wenyeviti wapya waliochagulia katika Uchaguzi uliofanyika hivi
karibuni nchini kote.
No comments:
Post a Comment