January 07, 2015

KAMATI YA BUNGE YA LAAC YARIDHISHWA NA HESABU ZA MANISPAA TEMEKE NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC), Bw. Rajabu Mohamed Mbaruku (kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao chao cha kamati na watendaji wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam kukagua hesabu na kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kulia ni Mkaguzi Mkuu wa Msaidizi wa Hesabu zaerikali, Emmanuel Kalibashubao. Kamati hiyo imeridhishwa na hesabu za Manispaa hiyo pamoja na miradi yake.
 Kikao hicho kikiebdelea.
 Hoja zikijibiwa na viongozi wa Manispaa ya Temeke.
 wajumbe wa Kamati hiyo wakijadiliana jambo.
 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC), Kangi Lugola akizungumza wakati kamati hiyo ilipokutana na viongozi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, kukagua miradi ya mandeleo katika halmashauri hiyo jana. Kushoto ni Mjumbe mwenzake, Ezekiel Maige.
Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustin Ndungulile akizungumza wakati wa mkutano wa watendaji wa Manispaa ya Temeke na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) kukagua miradi ya mandeleo katika halmashauri hiyo jana. 
Mwenyekiti wa LAAC, Bw. Rajabu Mohamed Mbaruku(kulia) na wajumbe wake wakikagua barabara ya Manispaa ikiwa ni moja ya miradi waliyoikagua jana.

No comments:

Post a Comment